Kupika nitakusaidia maana ndio kitu napenda kuliko zote.Sipendi mizunguko isiyo na ulazima
Sipendi kupika nikiwa ghetto
Sipendi kuosha vyombo na sabuni ya kipande
Sipendi kuvaa vaa masweta ila inanilazimu sababu ya mkoa niliopo
Aise kuna mtu alitokea nielewa sana yuko vizuri tu lkni mimi Habari sina....Nakataa vizuri tu, nishawahi kukataa offer ya lunch Mount Meru hotel nikabaki ghetto mchana huo nikapika ugali na kabichi.
Pole sana mkuu jitahidi upate kampuni yako hakuna namna.sipendi kukatisha usingizi saa10 ajili ya kujiandaa kwenda job, jambo hili lanikwaza sana ila kwa kua hakuna jinsi nafanya tu
Asante sanaHahahah sawa mbibi wa kidijitali sema uko poa i like your personality!
Yani tena nitakuunga kuliko roast beef la kitanga..akichomoa labda si mimi😅😅na mkwanja lazima uniongezee😅😅dadekiUtaskia jamaa ana michongo kinoma yani ni Engineer kule Dodoma. Ukija mcheki mwamba mwenyewe hata deal ya laki 3 hatuwezi fanya 🤣🤣🤣
Mkuu acha kujiendekeza kwa kula mshahara wote..Hamna kitu sipendi kama kula mshahara wote week moja tu baada ya kuingia ila ndo ila ndo ivyo kilimanjaro lager ni tamu ntafanyaje sasa. Lazma kurudishia mwili shukrani kidogo kwa kazi ngumu . All in all we are sure of where we are coming from and where we are but we are not sure about tomorrow.
Ndo nini maana yake mzee babaHio ndio kinyume ya Rhetorical questions.
Nina mwili mzuri mwembambaNdio maana unanenepa ovyo
Okoka kwa ajili ya nafsi yakoEeeh maana me naokoka kwa ajili yako mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia mimi ndio mpambe [emoji28][emoji28]
Njoo tule wote . Sasa niache ela benk ifanye nini. If can't climb it let me drink it . [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu acha kujiendekeza kwa kula mshahara wote..
Ole wako wa mwezi huu uule wote..utanitambua[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ndo la msingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huhuuuuuuuuuuuu[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344] Huo ubwabwa Shem darling ni lini?halafu Capital G naomba umjengee mdogo wangu Saint Anne msituni..hapendi ushirikiano na binadamu..
Nilikuwa na tease tu, nakufahamu mrembo ulivyo slim kama NandyNina mwili mzuri mwembamba