Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #661
Kupika nitakusaidia maana ndio kitu napenda kuliko zote.Sipendi mizunguko isiyo na ulazima
Sipendi kupika nikiwa ghetto
Sipendi kuosha vyombo na sabuni ya kipande
Sipendi kuvaa vaa masweta ila inanilazimu sababu ya mkoa niliopo
Kuonsha vyombo sipendi ila hakuna namna.
Hama uko mama uje huku kwetu ..
Kwa pamoja tu jipe pole hakuna namna