Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi sana kukuna kichwa / kupiga mkono ..kuwa mwanacha wa chapu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kukaa nyumbani kumenikinga na mengi sana...yaani huwa nawaza kama ningekuwa mzururaji huenda ningekuwa nishaharibika kitambo.

Japo muda wa kuzurura kutafuta hela umefika
Unaweza tafuta kazi zinazoendana na personality yako ukaendelea kuenjoy maisha....
mfano:virtual assistant,ethical hacking,full stack developer na greenhouse and vertical farming unazalisha mbogamboga mchicha,chinese etc na maisha yanaenda πŸ™‚
 
Akhsante kwa kunipa wazo zuri
Nitafanyia kazi
 
Asili yako ni uchafu mkuu. Maana hakuna namna
 
Umeelezea Vizuri sana mkuu..unaoffer yangu aiseh..

Anza na [emoji1635]

Naam mkuu, cheers! sasa wacha nijichagulie hiyo offer kabisa!

Ni hivi, siku uki post picha yako kule jukwaani pendwa pa ku'selfika' basi uni tag kabla hujaifuta, please πŸ˜‰
 
Ubarikiwe sana mtumishi mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…