Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Are you chaste!?Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
HapanaAre you chaste!?
Why did you write that?Hapana
Nashindwa hata nikujibu niniWhy did you write that?
Au wakati unaandika hiyo mwaka juzi ilikuwa hivyo?Nashindwa hata nikujibu nini
🤣🤣🤣Au wakati unaandika hiyo mwaka juzi ilikuwa hivyo?
Ina maneno mazito ambayo kwa mtu mwenye akili yana imply jambo kubwa sana.🤣🤣🤣
Kwani wewe umetafsiri vipi jamani comment yangu ile?
Dah! Yawezekana tafsiri zikawa tofauti chalii😉Ina maneno mazito ambayo kwa mtu mwenye akili yana imply jambo kubwa sana.
Okay sawa. Nimeshapata jibu la swali nililokuwa nimejiuliza.Dah! Yawezekana tafsiri zikawa tofauti chalii😉
Swali gani?Okay sawa. Nimeshapata jibu la swali nililokuwa nimejiuliza.
Nililouliza la kwanza.Swali gani?
Oh okeeNililouliza la kwanza.
Wewe ni Mimi kusimama kwenye daldala hapana aseehNipo radhi nisubiri daladala hata nusu saa ila si kupanda daladala iloyojaa
Hata kama ninapoenda Ni karibu.
Siyo kwa hizi daladala za daslama🤣🤣🤣Wewe ni Mimi kusimama kwenye daldala hapana aseeh
Nilitaka kushangaa kuwa hadi Dar huu msimamo bado uko nao?Siyo kwa hizi daladala za daslama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.....
Ila Dom na Mbeya nilikuwa sisimami kabisa aisee.
Vikwapa vilivyolowa jasho kwa joto la daslam🙌🙌🙌Saint Anne & Pep Baraka zangu zote mnazo nendeni mkaanze maisha Kwa pamoja mkimtanguliza Mungu mbele.
Pep fanya jitihada chamdeko apate gari..haiwezekani tulasiti boni tukungutwe na vikwapa vya abiria kwenye daladala
Hiki kimuhemuje kilishakoma baada ya siku moja kupanga foleni masaa mawili pale gerezani,eti nasubiri mwendokasi ya seat!Nilitaka kushangaa kuwa hadi Dar huu msimamo bado uko nao?