Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Are you chaste!?Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]