Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Are you chaste!?
 
Kupiga puchu.

Sipendi kabisa. Naacha naanza naacha naanza.

Aisee tabu tupu
 
Saint Anne & Pep Baraka zangu zote mnazo nendeni mkaanze maisha Kwa pamoja mkimtanguliza Mungu mbele.

Pep fanya jitihada chamdeko apate gari..haiwezekani tulasiti boni tukungutwe na vikwapa vya abiria kwenye daladala
 
Back
Top Bottom