πππSipendi kupigiwa pigiwa simu aisee ni vile maisha hayawez kwenda bila hii kitu.
Wanaongea Kama vile mtu hayupo[emoji23]Wanawake bhana.
Eti hawapendi kuvaa chupi na kuvaa nguo.ππ Nahisi wakiwa peke yao ndani wanashinda uchi.Wanaongea Kama vile mtu hayupo[emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Eti hawapendi kuvaa chupi na kuvaa nguo.[emoji3][emoji3] Nahisi wakiwa peke yao ndani wanashinda uchi.
yaaaani mwee mi ikifika siku ya kufua nnavyolalamika utafikiri nimesaidiwa kuvaaππPale ukifikiria kuna kufua baadae ndo kabisaa kichwa kinawaka[emoji28]
aah thubutu apa penyewe natamani ata mtu anisuprise na muamala ππππNilitaka nisikie hupendi fwezaπ π
[emoji1312][emoji1312][emoji1312]aah thubutu apa penyewe natamani ata mtu anisuprise na muamala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huhuuuuuuuuuuu...love connected πππππwoooooozaaaaaaaahπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈWaow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Haki tuko tofauti kho...Mimi kazi nisiyoipenda ni kuosha vyombo.
Jamani jamani yaani huwa nafanya basi tu kwa vile hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hizi zingine Kama kufua,kupiga deki na kazi nyingine zote, yaani Hata ungeniwekea nguo kabati zima nitafua
Kuna kitu najiona ndani ya mwandiko wako na ndani yako mkuu..π€π€π€π€Kwa imani napokea, vyote tulivyo navyo, vinatoka kwake. Kuwasaidia wengine ni kama kutoa sehem ya tulichopewa.
Mwisho wa siku tutaondoka bila kitu, tutaacha kila kitu hapa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23]wavivu crew tunazidi kujuanayaaaani mwee mi ikifika siku ya kufua nnavyolalamika utafikiri nimesaidiwa kuvaa[emoji23][emoji23]
He hata mimi napenda mazingira ya ukimya na kukaa peke yangu lkni wewe umenishinda kwa tabiaπLabda
Shule tu nilikuwa napata tabu maisha ya kujichanganya na watu.
Kuna mwaka nilipangwa rum mwenyewe,nikakaa Kama mwezi hivi.
Watu walikuwa wanakuja wanashangaa wananiambia nihame wakati mwenzao nilikuwa nimefurahi tu na nakaa comfortable bila kelele.
Ulipita mwezi nikaja kuongezewa mtu tukawa wawili.
[emoji847][emoji847][emoji122][emoji122][emoji122]@Chakorii, again[emoji28][emoji28]
Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa
Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye
Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali