Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huhuuuuuuuuuuu...love connected 💞💞💞💞💞woooooozaaaaaaaah🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Utukufu mkubwa mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kuolewa mimi [emoji7][emoji847][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji3]
Uzi wangu una Baraka 😅😅ukatuwakilishe vizuri sasa na wewe loh😅😅
 
Mimi kazi nisiyoipenda ni kuosha vyombo.
Jamani jamani yaani huwa nafanya basi tu kwa vile hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hizi zingine Kama kufua,kupiga deki na kazi nyingine zote, yaani Hata ungeniwekea nguo kabati zima nitafua
Haki tuko tofauti kho...

Hongera tubadilishane basi
 
Kwa imani napokea, vyote tulivyo navyo, vinatoka kwake. Kuwasaidia wengine ni kama kutoa sehem ya tulichopewa.

Mwisho wa siku tutaondoka bila kitu, tutaacha kila kitu hapa hapa.
Kuna kitu najiona ndani ya mwandiko wako na ndani yako mkuu..🤝🤝🤝🤝
 
Labda
Shule tu nilikuwa napata tabu maisha ya kujichanganya na watu.
Kuna mwaka nilipangwa rum mwenyewe,nikakaa Kama mwezi hivi.
Watu walikuwa wanakuja wanashangaa wananiambia nihame wakati mwenzao nilikuwa nimefurahi tu na nakaa comfortable bila kelele.
Ulipita mwezi nikaja kuongezewa mtu tukawa wawili.
He hata mimi napenda mazingira ya ukimya na kukaa peke yangu lkni wewe umenishinda kwa tabia🙌
 
@Chakorii, again[emoji28][emoji28]

Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa

Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye

Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
[emoji847][emoji847][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom