Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Nilikwambiaga lakini..dasalamu ni nchi nyingine ukajitia kichwa ngumu cha mdeko.
Endelea kudeka mama
😂😂😂😂😂
Nishakuwa nunda siku hizi,,yaani napambania nafasi nzuri ya kusimama.
Niliona ni ujinga kukaa masaa nasubiri gari ili nikae...bora huo muda nipande gari kwa kusimama.
 
Amen....si ndo maana nakuelewaga

Hii kauli imenikumbusha jasiri mwendazake

Hakuna namna...mama mtumishi inabidi apate walau tu baby walker kama twa mdogo angu Mlolongo
Ewaaaaaaa....haya ndo maneno sasa.

Unaweza kufanya masihara masihara Mara paap Saint Anne anakuwa mkeo kihalali(kama umefikia umri wa kuona na uko singali teh teh teh)

Mtangulizeni Mungu mbele
 
Back
Top Bottom