Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Nilikwambiaga lakini..dasalamu ni nchi nyingine ukajitia kichwa ngumu cha mdeko.
Endelea kudeka mama
Tangu july nasimama mbezi kivukoni na kurudi.Mpka sasa namba ziko ngapi!
Amen....si ndo maana nakuelewagaSaint Anne & Pep Baraka zangu zote mnazo
Hii kauli imenikumbusha jasiri mwendazakenendeni mkaanze maisha Kwa pamoja mkimtanguliza Mungu mbele.
Hakuna namna...mama mtumishi inabidi apate walau tu baby walker kama twa mdogo angu MlolongoPep fanya jitihada chamdeko apate gari..haiwezekani tulasiti boni tukungutwe na vikwapa vya abiria kwenye daladala
Ewaaaaaaa....haya ndo maneno sasa.Amen....si ndo maana nakuelewaga
Hii kauli imenikumbusha jasiri mwendazake
Hakuna namna...mama mtumishi inabidi apate walau tu baby walker kama twa mdogo angu Mlolongo
Tabasamu lako ni tiba kwangu [emoji2]Nikipataga comment yako yoyote huwa natabasamu sana[emoji4][emoji4]
Sina sababu
Oooooooooooohhhhhhhhhh........yeeeeesssssssssssssss!!......Ameeeeeen!!!Nawe barikiwa pia mwana wa Mungu
🤣Amen....si ndo maana nakuelewaga
Hii kauli imenikumbusha jasiri mwendazake
Hakuna namna...mama mtumishi inabidi apate walau tu baby walker kama twa mdogo angu Mlolongo
Kwa namna umekua ukiupiga mwingi.....siku ya harusi lazima dadake ulivalishwe kitengeEwaaaaaaa....haya ndo maneno sasa.
Unaweza kufanya masihara masihara Mara paap Saint Anne anakuwa mkeo kihalali(kama umefikia umri wa kuona na uko singali teh teh teh)
Mtangulizeni Mungu mbele
Kwa namna umekua ukiupiga mwingi.....siku ya harusi lazima dadake ulivalishwe kitenge
Hujaniambia ni shemeji kwa ndugu yetu yupi[emoji3059]Shemeji kama shemeji
Sio lazima umjue kila mtuHujaniambia ni shemeji kwa ndugu yetu yupi[emoji3059]
Hutaki nishone sare?
Mweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio Sio lazima umjue kila mtu
Mweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si nataka nikampe hongera[emoji16]
Na sare sasa nitashonaje[emoji16][emoji16]Nipe kwa niaba yake, nitamfikishia