monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video games enzi hizo ps2 iko 🔥, basi muda wangu mwingi nilikua naupoteza huko. Hadi leo hii nimekua mraibu wa games yani haipiti siku bila kucheza.
Je, ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted maishani mwako?