Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

Mkuu una akili sana kunywa pepsi nakuja kulipa
Watanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.

Umeuliza ni kitu gani kilikufanya uwe addicted. Wewe umejieleza vizuri sana, nini kilikufanya uwe addicted na games - mlikuwa mkienda mahali fulani na mnakutana na games na muda mwingi unaupoteza huko.

Sasa angalia wanaokujibu. Ni kitu gani kilikufanya uwe addicted - mtu anajibu ni Pepsi, Punyeto, Cars, JF!

Nikiwa mwalimu wote hao nawapa 0%, hawajajibu swali! Au wewe Mkuu ndie umeuliza swali vibaya? Sidhani, maana swali lako mwenyewe umelijibu vizuri sana katika issue ya "cause and effect". Ulichouliza ni "cause", watu wanakujibu "effect"
Nitoe mifano;
  • Wa Pepsi labda angesema niliishi sehemu hakuna maji safi ya kunywa, ikawa kinywaji ni Pepsi tu, nikawa nakunywa Pepsi kila siku. Nikawa addicted na Pespi
  • Wa Punyeto angesema mke wangu alikuwa akisafiri kila wakati, sasa nikawa nina mmiss na kuona Punyeto ni mbadala, nikajikuta addicted hata akiwepo
  • wa cars angesema nilikuwa na jirani anapenda magari kila tukikutana yeyey ni story za magari na uzuri wa magari, mara nyingine akinitoa for a ride na garri zake - nikawa addicted
  • Wa JF angesema nilianza kwa kusoma story za Tundu Lissu tu alipopigwa risasi, nikajikuta naingia story za Mwajuma kafumaniwa, baada ya muda nikawa siwezi kupitisha saa bila kutupia jicho JF
Umeona basi jinsi wa TZ tusivyoelewa maandishi? Hata Mawaziri, wanasheria, Wabunge nk, nimeona wana tatizo hili, ndio maana mikataba kama ya bandari wanakomalia bila kuelewa, uraia pacha wanapinga bila kuelewa nk
 
Back
Top Bottom