Tena ya mlenda vuguvugu ni bo ge la addictionPunyeto. Nina mke na watoto wa4. Nalala na mke wangu kila siku. Ila master lazima mazee...hii ni zaidi ya addiction ya unga na kubet.
Mlenda mboga au ? secretarybirdTena ya mlenda vuguvugu ni bo ge la addiction
Watanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station).Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video games enzi hizo ps2 iko 🔥, basi muda wangu mwingi nilikua naupoteza huko.Hadi leo hii nimekua mraibu wa games yani haipiti siku bila kucheza.
Je, Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted maishani mwako?
Kusikilaza hip-hop ni uraibu wangu.Mlenda mboga au ? secretarybird
Unataka ukajaribu? Usifanye hivyo mkuu!!Mlenda mboga au ? secretarybird
Jamii forum addictionWakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video games enzi hizo ps2 iko 🔥, basi muda wangu mwingi nilikua naupoteza huko. Hadi leo hii nimekua mraibu wa games yani haipiti siku bila kucheza.
Je, ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted maishani mwako?
Jiongeze wewe ndiyo umeshindwa kujiongeza wapo sahihiWatanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.
Umeuliza ni kitu gani kilikufanya uwe addicted. Wewe umejieleza vizuri sana, nini kilikufanya uwe addicted na games - mlikuwa mkienda mahali fulani na mnakutana na games na muda mwingi unaupoteza huko.
Sasa angalia wanaokujibu. Ni kitu gani kilikufanya uwe addicted - mtu anajibu ni Pepsi, Punyeto, Cars, JF!
Nikiwa mwalimu wote hao nawapa 0%, hawajajibu swali! Au wewe Mkuu ndie umeuliza swali vibaya? Sidhani, maana swali lako mwenyewe umelijibu vizuri sana katika issue ya "cause and effect". Ulichouliza ni "cause", watu wanakujibu "effect"
Nitoe mifano;
Umeona basi jinsi wa TZ tusivyoelewa maandishi? Hata Mawaziri, wanasheria, Wabunge nk, nimeona wana tatizo hili, ndio maana mikataba kama ya bandari wanakomalia bila kuelewa, uraia pacha wanapinga bila kuelewa nk
- Wa Pepsi labda angesema niliishi sehemu hakuna maji safi ya kunywa, ikawa kinywaji ni Pepsi tu, nikawa nakunywa Pepsi kila siku. Nikawa addicted na Pespi
- Wa Punyeto angesema mke wangu alikuwa akisafiri kila wakati, sasa nikawa nina mmiss na kuona Punyeto ni mbadala, nikajikuta addicted hata akiwepo
- wa cars angesema nilikuwa na jirani anapenda magari kila tukikutana yeyey ni story za magari na uzuri wa magari, mara nyingine akinitoa for a ride na garri zake - nikawa addicted
- Wa JF angesema nilianza kwa kusoma story za Tundu Lissu tu alipopigwa risasi, nikajikuta naingia story za Mwajuma kafumaniwa, baada ya muda nikawa siwezi kupitisha saa bila kutupia jicho JF
Basi sawa na mimi nilihisi huwa Maghayo anavuta bangi halafu anakuja tupia madini humu na mimi nikavutiwa na bangi sasa nipo addicted. Au nimekosea?Watanzania bwana tuna tatizo sana la kuelewa maandishi, ndio maana tunaletewa mikataba ya bandari ya kuuza nchi na tunaingia kichwa kichwa.
Umeuliza ni kitu gani kilikufanya uwe addicted. Wewe umejieleza vizuri sana, nini kilikufanya uwe addicted na games - mlikuwa mkienda mahali fulani na mnakutana na games na muda mwingi unaupoteza huko.
Sasa angalia wanaokujibu. Ni kitu gani kilikufanya uwe addicted - mtu anajibu ni Pepsi, Punyeto, Cars, JF!
Nikiwa mwalimu wote hao nawapa 0%, hawajajibu swali! Au wewe Mkuu ndie umeuliza swali vibaya? Sidhani, maana swali lako mwenyewe umelijibu vizuri sana katika issue ya "cause and effect". Ulichouliza ni "cause", watu wanakujibu "effect"
Nitoe mifano;
Umeona basi jinsi wa TZ tusivyoelewa maandishi? Hata Mawaziri, wanasheria, Wabunge nk, nimeona wana tatizo hili, ndio maana mikataba kama ya bandari wanakomalia bila kuelewa, uraia pacha wanapinga bila kuelewa nk
- Wa Pepsi labda angesema niliishi sehemu hakuna maji safi ya kunywa, ikawa kinywaji ni Pepsi tu, nikawa nakunywa Pepsi kila siku. Nikawa addicted na Pespi
- Wa Punyeto angesema mke wangu alikuwa akisafiri kila wakati, sasa nikawa nina mmiss na kuona Punyeto ni mbadala, nikajikuta addicted hata akiwepo
- wa cars angesema nilikuwa na jirani anapenda magari kila tukikutana yeyey ni story za magari na uzuri wa magari, mara nyingine akinitoa for a ride na garri zake - nikawa addicted
- Wa JF angesema nilianza kwa kusoma story za Tundu Lissu tu alipopigwa risasi, nikajikuta naingia story za Mwajuma kafumaniwa, baada ya muda nikawa siwezi kupitisha saa bila kutupia jicho JF
Hii nilijua tu Dr ,kila siku unazungumzia ulanzi humu utafanya watu wengi tuwe addicted na ulanzi siku moja🤔Baridi na kushinda na wazee wa makamo nikajikuta nimekuwa addicted na ulanzi wanaokunywa
Kununua Wanawake siwezi kuacha hii siwezi kuacha na imenipa confidence sana kwenye maisha yangu I wish wote wangekua hivyo lipa gonga sepaJe, ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted maishani mwako?