Pole nimecheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] nimejenga taswira ya koromije mkuuu ulikuwa mkoa ganSimu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
Kuna dada moja nilikuwa na mahusiano nayo ya kimapenzi tuna kaa maeneo ya jirani,wazazi wakr na fahamiana nao na tuna heshimiana sana sasa tuna mazoea na huyu dada kuona mtaa wa nyuma ya nyumba yao huko njia huwa haitumiki na mtu sana hata wazazi wake huwa hawaitumi,sasa bwana siku tumepanga tuonana mchana nimpe betri la simu mrembo wangu tukaonana unajua tena wapenzi mkionana kabla ya kuagana tukanza kutomasana na romance mara mvuuuu mzee wake huyu hapa mbele etu tuko penzi tata mahana yamekolea yule mzee hapana ana moyo,baada ya kutuona vile alitusalimia tu habari za saizi tukajibu salama mzee akasepa nilishiwa nguvu nikasema bora angenipiga nujue moja kuliko kuchukulia poa hivi,yule dada kurudi kwao mzee hajazungumz hizo habar basi tukuonana kanisani ama mtaan na huyu mzee na mwonea aibu sana japo yeye ana changamkia sana kucheka nami binti ake kwa sas mjamzito ana mimba ya mtu mwingine
Acha tu mkuuu nilishia kushangaa maajabu alntoa ushamba najua hiz mamb washua huwa wakuda wakikuta bint zao wako hiz mamb...usishangae, huyo Mzee nae kapitia stage hizo hizo.
Hatari sana mkuu!na yeye kwa sifa anajua kabisa mimi ndo nimetoka huko,ila akajifanya kuuliza tena kwa sauti Kali...."nani amechafua huku jamani?"ooh nikajiona mdoogo ,aibu balaa!![emoji125] [emoji125][emoji23] akakuta shilingi ina elea baharini malizia mkuu
Ahaaa uljb mkuu nahs kesho yake mliagaHatari sana mkuu!na yeye kwa sifa anajua kabisa mimi ndo nimetoka huko,ila akajifanya kuuliza tena kwa sauti Kali...."nani amechafua huku jamani?"ooh nikajiona mdoogo ,aibu balaa!![emoji125] [emoji125]
Ilibidi nimwambie beki 3 apeleke maji fasta kabla mambo hayajazdi kuharibika[emoji30] kesho yake hata kwenda kukojoa niliogopa ,aibu balaa[emoji85] [emoji85] .siku ya 3 hao tukasepa,kwa kweli nikikumbuka mmh!!Ahaaa uljb mkuu nahs kesho yake mliaga
Ha ha msalaaaa mkuu poleIlibidi nimwambie beki 3 apeleke maji fasta kabla mambo hayajazdi kuharibika[emoji30] kesho yake hata kwenda kukojoa niliogopa ,aibu balaa[emoji85] [emoji85] .siku ya 3 hao tukasepa,kwa kweli nikikumbuka mmh!!
Asante mkuu.Ha ha msalaaaa mkuu pole
hii siku nilipata fedheha mbele ya umati wa muhammadYaani hamna simu inanikera kama Lumia aisee
hakuna kitu kinatesa kama mtu umkosee afu avunge tu,yani asikuadhibu wala kukuuliza aseee ukimuona unahisi kujinyeanyeaKuna dada moja nilikuwa na mahusiano nayo ya kimapenzi tuna kaa maeneo ya jirani,wazazi wakr na fahamiana nao na tuna heshimiana sana sasa tuna mazoea na huyu dada kuona mtaa wa nyuma ya nyumba yao huko njia huwa haitumiki na mtu sana hata wazazi wake huwa hawaitumi,sasa bwana siku tumepanga tuonana mchana nimpe betri la simu mrembo wangu tukaonana unajua tena wapenzi mkionana kabla ya kuagana tukanza kutomasana na romance mara mvuuuu mzee wake huyu hapa mbele etu tuko penzi tata mahana yamekolea yule mzee hapana ana moyo,baada ya kutuona vile alitusalimia tu habari za saizi tukajibu salama mzee akasepa nilishiwa nguvu nikasema bora angenipiga nujue moja kuliko kuchukulia poa hivi,yule dada kurudi kwao mzee hajazungumz hizo habar basi tukuonana kanisani ama mtaan na huyu mzee na mwonea aibu sana japo yeye ana changamkia sana kucheka nami binti ake kwa sas mjamzito ana mimba ya mtu mwingine
Acha kuharibu majina ya watu bana. Kujamba ujambe wewe majina utaje ya wengine!! Unaumwa...!!!Cku ya kwanza kunyonywa koni yaan raha zake mpk kitu cha yusufuuuf
espy Nalendwa naomba tu mumchukue ndugu yenu khaaaSimu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe