Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

Flashing kwenye choo cha ndege, hahaa choo kimejaa button utadhan sehem ya ruban kuongozea ndege!
 
Sitokaa nisahau siku nilipofungua account CRDB moshi. Baada ya process zote za ndani ya benki nikaambiwa niende nje kwenye ATM kubadilisha password, asee nilikuwa sijawahi kuingia kwenye ATM sijui hata kadi inachomekwa wapi nilijikuta nachungulia ile ATM machine hadi kwa chini sikuelewa, nakumbuka hadi nilinyanyua dustbin la mle ndani ya ATM sikuona. Hadi alipokuja jamaa mmoja akanisaidia. Tangu siku hiyo nikawa nikipita kwenye ATM naingia japo kuangalia salio mpaka nikazoea
 
Kuna dada moja nilikuwa na mahusiano nayo ya kimapenzi tuna kaa maeneo ya jirani,wazazi wakr na fahamiana nao na tuna heshimiana sana sasa tuna mazoea na huyu dada kuona mtaa wa nyuma ya nyumba yao huko njia huwa haitumiki na mtu sana hata wazazi wake huwa hawaitumi,sasa bwana siku tumepanga tuonana mchana nimpe betri la simu mrembo wangu tukaonana unajua tena wapenzi mkionana kabla ya kuagana tukanza kutomasana na romance mara mvuuuu mzee wake huyu hapa mbele etu tuko penzi tata mahana yamekolea yule mzee hapana ana moyo,baada ya kutuona vile alitusalimia tu habari za saizi tukajibu salama mzee akasepa nilishiwa nguvu nikasema bora angenipiga nujue moja kuliko kuchukulia poa hivi,yule dada kurudi kwao mzee hajazungumz hizo habar basi tukuonana kanisani ama mtaan na huyu mzee na mwonea aibu sana japo yeye ana changamkia sana kucheka nami binti ake kwa sas mjamzito ana mimba ya mtu mwingine
 
Simu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
[emoji23] nimejenga taswira ya koromije mkuuu ulikuwa mkoa gan
 
...usishangae, huyo Mzee nae kapitia stage hizo hizo.
 
[emoji23] akakuta shilingi ina elea baharini malizia mkuu
Hatari sana mkuu!na yeye kwa sifa anajua kabisa mimi ndo nimetoka huko,ila akajifanya kuuliza tena kwa sauti Kali...."nani amechafua huku jamani?"ooh nikajiona mdoogo ,aibu balaa!![emoji125] [emoji125]
 
Ahaaa uljb mkuu nahs kesho yake mliaga
 
Kuchota maji na kopo lenye kamba katika Kisima nilipofika Dar.

Nilishangaa ni kweli hii ni Dar?
 
Ahaaa uljb mkuu nahs kesho yake mliaga
Ilibidi nimwambie beki 3 apeleke maji fasta kabla mambo hayajazdi kuharibika[emoji30] kesho yake hata kwenda kukojoa niliogopa ,aibu balaa[emoji85] [emoji85] .siku ya 3 hao tukasepa,kwa kweli nikikumbuka mmh!!
 
Ha ha msalaaaa mkuu pole
 
Kuna dada moja nilikuwa na mahusiano nayo ya kimapenzi tuna kaa maeneo ya jirani,wazazi wakr na fahamiana nao na tuna heshimiana sana sasa tuna mazoea na huyu dada kuona mtaa wa nyuma ya nyumba yao huko njia huwa haitumiki na mtu sana hata wazazi wake huwa hawaitumi,sasa bwana siku tumepanga tuonana mchana nimpe betri la simu mrembo wangu tukaonana unajua tena wapenzi mkionana kabla ya kuagana tukanza kutomasana na romance mara mvuuuu mzee wake huyu hapa mbele etu tuko penzi tata mahana yamekolea yule mzee hapana ana moyo,baada ya kutuona vile alitusalimia tu habari za saizi tukajibu salama mzee akasepa nilishiwa nguvu nikasema bora angenipiga nujue moja kuliko kuchukulia poa hivi,yule dada kurudi kwao mzee hajazungumz hizo habar basi tukuonana kanisani ama mtaan na huyu mzee na mwonea aibu sana japo yeye ana changamkia sana kucheka nami binti ake kwa sas mjamzito ana mimba ya mtu mwingine
hakuna kitu kinatesa kama mtu umkosee afu avunge tu,yani asikuadhibu wala kukuuliza aseee ukimuona unahisi kujinyeanyea
 
Simu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
espy Nalendwa naomba tu mumchukue ndugu yenu khaaa
 
Kwa mara ya kwanza kupanda ndege nilishindwa kuiona namba ya siti yangu mpaka nikamuita muhudumu[emoji23] [emoji23]
Wallah ushamba mzigo aisee
 
Back
Top Bottom