Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha hii kitu aisee, nami smartphone ilinitoa ushamba kipindi hicho ndio zimeingia ingia, sijui ilikua nokia n ngapi vile!!! Kama siku 4sikupokea simu kila ikiita nashindwa kuipokea maana mpaka uislide button ndio ipokeleke, sasa ikiita kila nikibonyeza haipokeleki, kuuliza naona aibu alafu pia nashindwa wa kumuuliza maana wengi hawakuwa nazo, nakumbuka niliulizia watu kama wawili wakawa hawajui. Basi siku hiyo akili ikanijia ikabidi nisome manual ndio nikaelewa. Daah nilivyoweza haki nilijichekaaa.
 
Sitosahau siku ya kwanza nimeenda ugenini nikapewa chai na tea bags, eti nikafungua ka bag kamoja nikamimina majani ili wengine waje kumimina yao hahahahhaa
Arooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaaa jamii forums tamu kwa kweli haaaaa
 
kwa kweli mobile phones zilipoingia, mimi nilijua jina la kampuni (Mobitel) ndio aina ya simu kama ilivyo samsung au itel😡😡.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sitosahau siku ya kwanza nimeenda ugenini nikapewa chai na tea bags, eti nikafungua ka bag kamoja nikamimina majani ili wengine waje kumimina yao hahahahhaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ilikua Kali Mkuu
 
Aisee, siku ya kwanza kufungua shampeni tena ukumbini nilitamani kuikimbia sherehe maana nilikuwa naitikisa tuu nikisubiri mfuniko uchomoke wenyewe hadi nikaoneshwa kale kawaya ndani ya karatasi. Aibu kichizi
 
ahahaaa mama weeeee
 
hahaaaaa...baada ya kumkuta dem wang mmoja hv
BK, nikaseme dhuu kumbe huwa iv.
 
Aisee, siku ya kwanza kufungua shampeni tena ukumbini nilitamani kuikimbia sherehe maana nilikuwa naitikisa tuu nikisubiri mfuniko uchomoke wenyewe hadi nikaoneshwa kale kawaya ndani ya karatasi. Aibu kichizi
Duh!!! Ningekimbia sherehe
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ duh, mkuu hii kali kulio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi mara ya kwanza lift nilishindwa kufungua kutoka ndani zamani sana..! Jamaa alinikuta mle macho yamenitoka nikaona aibu kusema..[emoji185]
Hizo lifti zilikuwa za mbao zinavutwa na kamba nn
 
Siku ya kwanza kufika dar,nilikuw natembea na begi langu la nguo kuogopa kuibiwa,nikienda kwa shoe shiner sitoki hapo nalinda viatu visiibwe
 
[emoji3][emoji3][emoji3]pole mkuu though yashapita.
 
Mara ya kwanza Ku make love na Mdada... Nikafakamia kitovu nikajua ndio kitu yenyewe... "

Baadaa ya kuona naangaika kuitafuta ikabidi ashike dushe apeleke mahala husika...

Kweli ile siku nikiikumbuka huwa nacheka sana ...
[emoji3][emoji3]humu ndani mna mambo sana
 
Halafu nime imagine baada ya Ninja kuruka akalifanyia bag sign ya karate. [emoji123]

Haaha sign ya karate wapi Nalendwa nilitua kama gunia nikalioga vumbi. Na vumbi la Mbeya huwa sio la kisport
 
Dah Mimi nilibanwaga muharo nkaomba kujihifadhi kwenye nyumba ya mtu ambaye simjui(msamalia mwema) nikapiga muhalo nshamaliza maji chooni hakuna weee mziki ulikuwa kuomba first aid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…