Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

ha ha ha
 
We jamaa hufai nacheka hadi watu wanajishtukia
 
Ile milango inayofunguka automatically ilipelekea nikang'oka meno yangu mawili ya mbele!

Sitosahau hata siku moja kwa sababu nilikumbana na aibu kubwa sana na maumivu ya kung'oka meno yangu!
Shukrani kwa kunichekesha jioni hii
 
baba alinipeleka hoteleni nikachagua menu fresh chips mayai nakumuambia muhudumu kwa mbwembwe naomba kisu na uma.. nilikuwa nadondosha kisu mara uma mdingi ananiangalia tu naletewa kingine nadondosha alininyanyua kanawe mikono ule na mikono aisee niliona chips mayai kama ugali wa maharage aibu.. ila ikawa adhabu kila siku home nakula na uma na kisu hata wali mpaka nikaweza kidogo
 
Nakuona mzee kama Michael dudikoff sijui nani yule
 
Jamani mtaua mbavu zangu.
 
Hahahahaaaa
 
Hahahahhhahaa nimecheka mno aiseee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Aw!, pole dear! [emoji28]

Hiyo angevua suruali na kuitupa.

Halafu angeanza kukimbia..[emoji125] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108]

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
 
hehehehehe... Umenichekesha sana mkuu
 
Hahahahahahahahahahahaha..natamani ningekuona ulivyokuwa umepanic
 
Mimi changu kilichonitoa ushamba hakihadithiki maana ni aibuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…