Haha na kujifanya kidume najua kuua nyokaHahahahahahahahahahahaha..natamani ningekuona ulivyokuwa umepanic
A haha kweli ushamba mzigo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha hii kitu aisee, nami smartphone ilinitoa ushamba kipindi hicho ndio zimeingia ingia, sijui ilikua nokia n ngapi vile!!! Kama siku 4sikupokea simu kila ikiita nashindwa kuipokea maana mpaka uislide button ndio ipokeleke, sasa ikiita kila nikibonyeza haipokeleki, kuuliza naona aibu alafu pia nashindwa wa kumuuliza maana wengi hawakuwa nazo, nakumbuka niliulizia watu kama wawili wakawa hawajui. Basi siku hiyo akili ikanijia ikabidi nisome manual ndio nikaelewa. Daah nilivyoweza haki nilijichekaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]A haha kweli ushamba mzigo
Ninong'oneze.Mimi changu kilichonitoa ushamba hakihadithiki maana ni aibuu
Ninong'oneze.
So sad asee uyo Fulani ulikuwa unamfahamBaada ya kushindwa kumla demu wakati naanza hayo mambo halafu demu kaniambia mbona fulani anaweza we umeshindwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah siku ya kwanza kuingia kituo cha mwendokasi, nililipia nauli tena nkatoa elfu5 ili nisiambiwe nauli haitoshi, ilikuwa ni pale urafiki naenda posta nikampa mdada(mlinzi) anisaidie kuscan sasa kimbembe kupita pale mlangoni nkadhani kile kichuma kinafungukia juu. Nilinyanyua lile chuma mpaka mrembo mmoja akanionea huruma akaja kusogeza tu mlango ukafunguka. Kwa aibu nilokuwa nayo nilisubiri mpka watu wote mle ndani ya kituo wakaondoka ndo na mimi nikapanda gari
Nilikuwa namfahamu. Ndio ilinimaliza kabisa.So sad asee uyo Fulani ulikuwa unamfaham
Malizia basi...khaa siku ya kwanza kutazama kideo tena ilikuwa picha ya Yesu...hapo tunekusanywa uwanja wa ccm huko kileji...
Hatari sanaHaha na kujifanya kidume najua kuua nyoka
Hahaha kumbe tupo wengiMimi mara ya kwanza lift nilishindwa kufungua kutoka ndani zamani sana..! Jamaa alinikuta mle macho yamenitoka nikaona aibu kusema..[emoji185]
Hahaha kumbe tupo wengiMimi mara ya kwanza lift nilishindwa kufungua kutoka ndani zamani sana..! Jamaa alinikuta mle macho yamenitoka nikaona aibu kusema..[emoji185]