Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Dada yangu PULL AND PUSH HUKUELEWA MAANA YAKE [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Mimi nilienda bank kufungua account sasa nilipokuwa mle ndani kwenye arakati za kujiandikisha na nn muda wa kutoka nakaza kuvuta mlango badala ya kusukuma daaa navuta mpk nakuja kugutuka watu wananishanga daaa kwakweli niliona aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji23] jamaa yakweli haya un unatupangaa maana nimechekasana kama nakuona vileSimu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
Palikuwa hapajaandikwa kwann nisielewe kweli tena... Nenda kaangaliee tawi la Mandela kituo shuka T.O.TDada yangu PULL AND PUSH HUKUELEWA MAANA YAKE [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
HaaaaaaPalikuwa hapajaandikwa kwann nisielewe kweli tena... Nenda kaangaliee tawi la Mandela kituo shuka T.O.T
Ata sikushangai!!! Mara ya kwanza kupanda ilikua airport Addis Ababa... Yaani ile timing ya kuingia na kutoka kwenye ngazi inanisumbua.... Sijatumia tena escalators naogopa kuaibika siku [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka leo na ujanja wangu kupanda ngazi za umeme ni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilialikwa birthday ya rafiki yangu halafu wakaserve table wine zile za box kwa chini kidogo unaivuta kanatoka ka koki kapo kama bomba hivi ambako ndo unafungua kujimiminia sasa mimi kwa vile nilipewa kwanza.
Nikaanza hangaika toboa juu nikizani lile box ndani kuna chupa ya wine!!..Kuna dada mmoja akanishtua hapo box juu lipo nusu tayari [emoji2]..
Aseh sipendi kaa siti ya mbele kwenye sherehe tena!!...
Hairuhusiwi kwani?Utakunyaje ukweni nawewe?
AhhahahahahKuchota maji na kopo lenye kamba katika Kisima nilipofika Dar.
Nilishangaa ni kweli hii ni Dar?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi juzi nilienda Samora pale jengo jipya la NHC bwana wee nikaziachilia mbali.Ata sikushangai!!! Mara ya kwanza kupanda ilikua airport Addis Ababa... Yaani ile timing ya kuingia na kutoka kwenye ngazi inanisumbua.... Sijatumia tena escalators naogopa kuaibika siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Haifai kwa mwanaume kunya kunya ukweni. Ni AIBUHairuhusiwi kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] mimi juzi nilienda Samora pale jengo jipya la NHC bwana wee nikaziachilia mbali.
Hahahaha hii tamu sana hapo mpka nguvu za kiume zinapunguaBaada ya kutembelea ukweni na kupiga menyu ya maana na kuvimbiwa mbaya,nikauliza msalani nikaonyeshwa,si nikaingia na kushusha mzigo wa hatare,sasa si unajua tena vyoo vya kizungu vyataka kufrash maji mengi,nmeshamaliza shughuli bhana,si nikavuta ile kamba,maji hola[emoji15] kumbe yamekatika kitaaambo!!ooh balaa hili jamani[emoji30] kucheki kwenye ndoo ,nmenawa yameisha!!asalaalee!!nikatoka nikatafute maji japo nimuombe beki 3 kiasi tu nikafrash!!,ile niko namnong'oneza beki 3,naona shemeji mkubwa(dada mtu) nae anaelekea msalani!!hatareee[emoji125] [emoji125] si akaingia bhana!!pliz sitaki kukumbuka zaid ile aibu!!nini kilifuata?ntarudi[emoji124] [emoji124]
Siku nimeambiwa nikwangue nazi niweke kwenye mboga kitu samaki Baada ya kumaliza kuikuna badala ya kuichuja na kutoa makapi kitu nilikiweka kama kilivyo due ilibidi itafutwe mboga nyingine kuokoa jahaziJe nikitu gani ambacho kiliwai kukutoa ushamba katika maisha yko unacho kikumbuka..
Mimi ni pikipiki ilinitoa ushamba sana hicho kitu enzi hizo lakin
weka na chako twende sawa
mliomba mboga nn?Siku nimeambiwa nikwangue nazi niweke kwenye mboga kitu samaki Baada ya kumaliza kuikuna badala ya kuichuja na kutoa makapi kitu nilikiweka kama kilivyo due ilibidi itafutwe mboga nyingine kuokoa jahazi