Ni kitu gani ambacho kinafanya usirudiane na ex wako hadi sasa?

Ni kitu gani ambacho kinafanya usirudiane na ex wako hadi sasa?

Hakuna sababu ya kurudiana nae hiyo ndio sababu sijarudiana nae mpaka kesho.

Watu wako wengi Mungu kaweka tufidiane, kurudiarudia watu ni kutokujitambua.
 
Back
Top Bottom