Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.

Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
 
download.jpeg.jpg
 
Ningependa kuona Andiko ambalo yesu akisema yeye ni MUNGU
Na pia andiko akisema yeye ni mwana wa mungu
Na andiko akisema yeye ni nabiI MTUME mjumbe wa MUNGU aliyetumwa na MUNGU kuitangaza Injili
 
Sijaelewa kwa nini wakristo wanaona kuwa na mitala dhambi.
 
Kunywa wine… walokole wanatuona wanywa wine tumeshindikana. Lkn kwa bible kumesema yapeni matumbo yenu mvinyo
Pombe si dhambi kimaandiko. Kunywa kwa raha zako na usifungwe na yeyote. Ila tu isikufanye kuwa 'irresponsibe'.
 
Back
Top Bottom