Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

Ningependa kuona Andiko ambalo yesu akisema yeye ni MUNGU
Na pia andiko akisema yeye ni mwana wa mungu
Na andiko akisema yeye ni nabiI MTUME mjumbe wa MUNGU aliyetumwa na MUNGU kuitangaza Injili
Have this from google.
A8E62078-3D2D-42FF-BC31-4CFE85AD9360.jpeg
 
Natafuta narudi
Waamuzi 13:4 Basi sasa, jihadhari, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala usile kitu kilicho najisi;


Au unasema hapa Mtume Paulo alipomshauri Timotheo👇

1 Timotheo 5:23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara....


Msipotoshe Wakuu..kama ni Pombe ,kunyweni tu kama ilivyo Uzinzi .


Wakiristo wa zamani walifanya huduma za dhati za kufunga bila kula huku wakisafiri umbali mrefu kupelekaa injili.


Lkni pia DIVAI ,ilitumika kama Dawa kutibu magonjwa .... Kasome Luka 10:33-34 kisa Cha Msamaria, alipomkuta mtu njiani hajiwezi ( anaumwa) mwili una vidonda, aliamua kutumia DIVAI kumpaka kwenye vidonda, yaan DIVAI ni kama ilivyo Hydrogen Peroxide au kama Iodine

Sasa , Timotheo ambaye alikua amefunga akinywa maji tu uku akitembea umbali mrefu kumtangaza injili , mwili wake ulidhoofu na wanatheolojia wanaelezea kua alianza sumbuliwa na tatizo la tumbo kuuma na kudhoofu.


Ndipo Mtume Paulo, anamshauri Timotheo,. Usinuwe maji tu, "Bali na Divai kidogo" ili huo Divai uende kua Dawa Kwa Timotheo na kumponya.



HAKUA NA MAANA YA KUA ,KUNYWA MVINYOOO KWA STAREHE AU KAMA SEHEM YA MAISHA YA KILA SIKU .


Kunyweni tu ila msitafute sababu za kuhalalisha, Ulevi, Biblia inamtaja mlevi kama mtu ambaye hupatwa na Kila jambo .

Ni kama ilivyo Uzinzi tu!!.


Tusihalalishe kitu, Mungu ni Mungu, hajipingi !!.
 
Usishangae hayo shangaa. biblia hakuna mahala popote iliposema ukristo ni ndini lakini wakristo mpaka Leo wana ng'ang'ana ni DINI
wavaa kobazi mnateseka sana, tunaombea mwezi uwe walau na siku 60 maana toka mmeanza kufunga bei ya kitimoto imeporomoka sana kitu ambacho ni nafuu kwa sisi wadau
 
Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.

Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Mkuu acha kunyetuka.
 
Kwa hiyo YESU ni MWANAWAMUNGU
Na sio MUNGU
Hvyo YESU sio MUNGU ?
Yohana 1:1-5

1: Hapo mwanzo kulikuwako na neno, naye neno alikuwako Kwa Mungu, Naye neno alikuwa Mungu.

2: Huyo mwanzo alikuwako Kwa Mungu

3: Vyote vilifanyika Kwa huyo Wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.

4: Ndani take ndimo ulimokuwamo uzima nao ule uzima ulikuwa Nuru ya watu.

5: Nayo Nuru yang'aa gizani Wala Giza halikuiweza.
 
Usishangae hayo shangaa. biblia hakuna mahala popote iliposema ukristo ni ndini lakini wakristo mpaka Leo wana ng'ang'ana ni DINI
"Dini" ni neno la kiarabu. Wayahudi walikuwa na sababu gani ya kuliweka kwenye kitabu chao? Tafuta neno sawa na dini kwenye bible uone kama halipo.

Usipende sana kuonesha ujinga wako hadharani
 
Back
Top Bottom