Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
- Thread starter
- #61
Umtazame kisha ukalipue sio ndo dhambi?Mathayo 5:28
"Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Andiko Hilo linamaanisha kumtamani mwanamke ni uzinifu , huwez fanya punyeto bila kutamani .. kwahyo punyeto Moja kwa Moja inakuingiza kwenye dhambi ya kutamani !! Ambayo ni uzinifu