Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Wapi pameandikwa hivo ??.nipasome.Kunywa wine… walokole wanatuona wanywa wine tumeshindikana. Lkn kwa bible kumesema yapeni matumbo yenu mvinyo
Kitabu gan mremboKunywa wine… walokole wanatuona wanywa wine tumeshindikana. Lkn kwa bible kumesema yapeni matumbo yenu mvinyo
Natafuta narudiWapi pameandikwa hivo ??.nipasome.
Kwahiyo Quran ndio imewaambia Uislam ni Dini?.Usishangae hayo shangaa. biblia hakuna mahala popote iliposema ukristo ni ndini lakini wakristo mpaka Leo wana ng'ang'ana ni DINI
Tafuta na urudi, Mimi nitakuwepo hapa kukusubiri.Natafuta narudi
Pombe si dhambi kimaandiko. Kunywa kwa raha zako na usifungwe na yeyote. Ila tu isikufanye kuwa 'irresponsibe'.Kunywa wine… walokole wanatuona wanywa wine tumeshindikana. Lkn kwa bible kumesema yapeni matumbo yenu mvinyo
Wakristo wametajwa kwenye biblia. Jua kwamba dini ni ushamba na haikupeleki mbinguni.Usishangae hayo shangaa. biblia hakuna mahala popote iliposema ukristo ni ndini lakini wakristo mpaka Leo wana ng'ang'ana ni DINI
Kitimoto ilitupiwa mapepo 😂😂Kula kitimoto