Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
CCMUliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto?
Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia.
Labda uliwahi kufikiri mwezi unafuata gari lenu, au radi ni anga likipasuka.
Lakini haya mambo ya ajabu tuliyoamini hayakuwa tu hadithi za kuchekesha; yalikuwa njia ya sisi watoto kujenga picha ya ulimwengu kujifunza kuhusu hisia, mahusiano, na sisi ni nani.
Utafiti unaonyesha watoto hawakariri tuu uhalisia unaoonekana bali pia wanautengenezea maana zinazowasaidia kuelewa maisha.
Je wewe, ulikuwa na imani gani ya ajabu ukiwa mdogo?
Kina wimbo ulikuwa ukisikiliza utafikiri wanasema Nyerere Komando mwinyi Mgambo kumbe tofauti kabisa nilimaizi baada ya kuwa nimekuwa mkubwaUliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto?
Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia.
Labda uliwahi kufikiri mwezi unafuata gari lenu, au radi ni anga likipasuka.
Lakini haya mambo ya ajabu tuliyoamini hayakuwa tu hadithi za kuchekesha; yalikuwa njia ya sisi watoto kujenga picha ya ulimwengu kujifunza kuhusu hisia, mahusiano, na sisi ni nani.
Utafiti unaonyesha watoto hawakariri tuu uhalisia unaoonekana bali pia wanautengenezea maana zinazowasaidia kuelewa maisha.
Je wewe, ulikuwa na imani gani ya ajabu ukiwa mdogo?
Kwamba mtoto anapatikana mtoto,baba na mama wanaenda kuvingirisha jiwe KUBWA!Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto?
Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia.
Labda uliwahi kufikiri mwezi unafuata gari lenu, au radi ni anga likipasuka.
Lakini haya mambo ya ajabu tuliyoamini hayakuwa tu hadithi za kuchekesha; yalikuwa njia ya sisi watoto kujenga picha ya ulimwengu kujifunza kuhusu hisia, mahusiano, na sisi ni nani.
Utafiti unaonyesha watoto hawakariri tuu uhalisia unaoonekana bali pia wanautengenezea maana zinazowasaidia kuelewa maisha.
Je wewe, ulikuwa na imani gani ya ajabu ukiwa mdogo?
Nyerere komandoo,kawawa kitumboo!Kina wimbo ulikuwa ukisikiliza utafikiri wanasema Nyerere Komando mwinyi Mgambo kumbe tofauti kabisa nilimaizi baada ya kuwa nimekuwa mkubwa
MtoniKwamba mtoto anapatikana mtoto,baba na mama wanaenda kuvingirisha jiwe KUBWA!
ulijuaje mkuu?Nguo nyekundu na radi
Kuangalia mwezi na kujikojolea
Hadi early puberty nilikua najua wanawake hawalipui NYETO nmekuja kuwajua hawa viumbe kwa MASTABENGA ni watengwe
Ulivyokuwa ikawaje?Nlikuwa najua mkipendana hamgombani wala kuachana maana nlikuwa sionagi watu walioana wawakiachana
Ilitakiwa wakueleweshe tu, sisi tuliamini mtoto anaokotwa chini ya jiwe kubwa ambalo liko mtoni.Niliaminishwa kuwa ili mtu kupata mtoto anapaswa kula sana mpaka kujaa tumbo halafu anafungiwa chumba chenye giza na watoto wengi, atakaemgusa ndio mwanae.
Nilipigwa makonzi baada ya kumuuliza mgeni wa kiume mwenye kitambi ataenda lini kuchagua mtoto wake. Kuniuliza wapi na kwanini, nikamwambia si una mimba.
Ilikula kwao sasa na uongo wao maana niliishia kuwafedhehesha kwa mgeni waoπ€£Ilitakiwa wakueleweshe tu, sisi tuliamini mtoto anaokotwa chini ya jiwe kubwa ambalo liko mtoni.
Mpaka leo napendaga sana kusikiliza story za watoto wanadanganyana hadi sio poa ππ
inashangaza wanapiga na bado wanakunyimaNguo nyekundu na radi