Ni kitu gani cha kijinga ulichokifanya uliposhika hela nyingi kwa mara ya kwanza?

Kama pesa zako hazijaisha naomba unitafute na mie
 
Hii thread lazima nirudi kusoma mwanzo mwisho.

Katika vipaji alivyonipa Mungu basi ni nidhamu ya pesa na kuwa na malengo nayo ambayo sitayumbishwa.
 
Nilikua first year semister ya kwanza ndio tumeingia chuo kuna demu alikua ananidharau sana nikachukua boom na kuapa nitakula naye sahani moja nikamweka kati na kumuingiza hotel.... Yule demu nlimbonda sana siku hiyo nilivyochoka nikamwacha alale nikachukua simu yake nikafuta namba zangu na meseji zangu zote kisha nikasepa kimya kimya.... Demu kuja kuamka sipo nshapotea.... Baada ya siku mbili nikapiga mtungi nikamkumbuka KIBAYA nikasahau kuwa nilimfanyia umafia si nikampigia simu Wacha aniporomoshee mitusi...

Mwingine nilitoka dar mpaka moro kwa hela ya boom kwenda kula mzigo nikaingia hotel ya kali.....

Nilivyoanza kazi nilikua nasafiri mara kwa mara nilikua na mademu kila mkoa niliokanyaga kasoro iringa na njombe... Ila makambako mbeya tunduma sumbawanga mpanda songea mbamba Bay namtumbo na pengine kote nilisabahi....

Ila kwa sasa naogopa mademu sijui kwa nini....
 
Naona thread imevamiwa tayari!
 
Kumbe tunapingana? Mimi Nilidhani Tunaeleweshana maana si kila anaepost humu ni mwenyeji anaejua kila kilichomo humu. Isitoshe kuongea kiingereza si ishara ya usomi, tatizo ni mitazamo ya baadhi yetu.
Usihangaike sana kumuelewesha...we angalia id yake....halafu utajua kwa nini anafikiri hivyo....
 
Lolest
 
me nilinunua ufukwe wa coco beach.
Umenikumbusha stori za wastaafu toka Zambia waliporudi mbeya waliuziwa makanisa wakanunua na baadae kugundua wameliwa mahela.
Sasa bila shaka wewe ndo yule munene anayefanya watu wanajing'ata ng'ata msimu huu
 
Pole mkuu
 
Wwe mtu wa kusini kama sikosei
 
Mimi nilimpigia simu mke wa waziri fulani ambaye zamani alikuwa girl friend wangu. Alipolitaja jina langu kudhihirisha kawa bado ananitambua nikamrushia milioni moja bila kuniomba na nikamwambia akatengeze nywele zake kisha tukutane jioni ya ile siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…