Ni kitu gani cha kijinga ulichokifanya uliposhika hela nyingi kwa mara ya kwanza?

Malizia basi hadithi yako😀.....
 
We kiboko
 
Daah!!nakumbuka nilichukua mkopo wangu wa kwanza,cha kwanza nikanunua gari afu chumban kulikua na pensi ya timberland ina mifuko mingi!!bhas nikaweka mil 1 ktk mfuko wa ile pensi!!bhas daaah ilikua bata tu gari pesa ikiisha narud hat gar sizimi naingia ndani kwenye ile pens nachukua hela,naingia ndan yq gari ndukiii!!sitosahau siku nikaja naingiza mkono mfukon natoka patupu,nikaitungua pensi nikaanza kuikung'uta sachi mifuki yote hamna kitu!!hela ishakata.nilichoamua hapo ni kwenda kupark gar na kurudi kulala!!
 
wabongo bwana ndio maana tuko nyuma, utakuta mtu anazungumza kiswahili halafu anachanganya na kiingereza sjui ndio mtu amesoma sana au ndio mashauzi sielewagii....
Hii ni code-switching. Ni utanzu unaojitegemea katika Isimu na kuna nadharia nyingi kuuelezea. Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wabunge wetu hawawezi kuongea Kiswahili pekee na ni lazima wachanganye? Yaani wakati mwingine hata huwezi kuelewa wanazungumzia nini. Wewe pia huwa unachanganya? Kwa nini?
 
Daah!!! Aisee uao wa nyoka umetisha sana. Yaani kama ID yako tu inavyotisha. Ila tafadhali endelea kumwaga visa hapa tujifunze maana wengine ndio tupo hapo sasa hvi
 
Mimi sio cha kijingaa iyoo ya kwanza baada ya kushinda Bahati nasibu ya TBL kipindi kilee cha Nsekela nilisafiri mpaka mkoani anakoishi Dada na kumpa Mtaji Wa biashara..sasa umri wangu Wa miaka 20 ivi haikumjia kuamini Dada Angu kama nampa tu Maburungutu ivi ivi Kwa shauku aliniuliza he Ni mkopo?nikamjibu hapana hakuamini..na nilifanya ivyo nikiwa Chuo na mahitaji mengi sema kilichokuwa kinaniuniza ni ile halii aliyokuwa ya kuteseka watoto 6,baba hakuna hana kazi ilichangia nifanye vile..but sadly enough baada ya kufanikiwa na kujengaa baadae through biashara aliyoianzisha ilikuja kutokea Bibi akafariki ikabidi wajukuu turithi nyumba Dada akisaidiana na mtoto Wa mamdogo waliuza nyumba Milioni 150....Dada yanguu huyoo Wa pekee alinigawia milioni 4 tu..na yeye kujinunulia nyumba nyingine...kwani wazazi woote walifariki ivyo wajukuu ndo tulirithishwa..OK.ni mengi I'm sorry to say all these..ila nimejifunza mengi sana..
 
wabongo bwana ndio maana tuko nyuma, utakuta mtu anazungumza kiswahili halafu anachanganya na kiingereza sjui ndio mtu amesoma sana au ndio mashauzi sielewagii....
0716 we ndo hujui kwani hujuu codeswitching na Codemixing...unaona wivu wenzio wanavyocheza na lugha..hata ivyo kwani dhambi??unaacha kuchangua madam umeanza kutafutizaa visas..wabongoo kazi kweliii.
 
Daah!!! Aisee uao wa nyoka umetisha sana. Yaani kama ID yako tu inavyotisha. Ila tafadhali endelea kumwaga visa hapa tujifunze maana wengine ndio tupo hapo sasa hvi
Mkuu Nikiyabwaga yote hapa mtanichukia, amini nachokwambia!
 

Kweli sixweek Halafu kikosi chako mizinga lazima ukung'ute timberland then ukizubaa na ukiwa kichwa maji unakuwa chizi hivi hivi. Nina washkaji hapa kikosini ni wehu coz of 6wiki.

Stay strong soja.
 
okoyoko,
Allowance ya teaching practice nilikuwa elfu 20 nilimtumia lunch kwa tutors nikasahau nguo ya graduation Nilitaka bila jacket. Sijutii sanabu sikumpenda wanione mwanamke ni wa kupewa ingawa nilionekana tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…