Ni kitu gani cha kijinga umewahi kufanya in the name of love?

Kwenda kumpiga miti demu kwao,
Nataka kuondoka baba yake karudi na kakaa gate la kutokea, sikumbuki hata ule ukuta nilirukaje ( kumbe kuna jirani aliuza CD kwa mzee wake)
Ujana una mengi
 
Tulielewana na Mke wa mtu tukutane Lodge nikatuma Nauli na yapongezi dadadeki manzii akaniblock🤣🤣 nilimind sana, miezi mitatu nazurula zangu mjini nikakutananao na Mme Wake🤣🤣tukasalumiana nao afu akonesha kunichekaa ila nikakazaatu.
 
Nilimchapa makofi dem mmoja, kisa alikua ananipenda na alieneza habari kitaa kuwa anatembea na mimi, wakati mm nina dem mwingine pale kitaa. Kila nikikumbuka huwa najiona bonge la fala yan
 
manzi wangu wa Makambako aliniambia kanimic na nilivokuwa mjinga nikachoma nauli toka Masasi kuifuata papuchi kilichonikuta!!šŸ‘æ ila basi tu wanawake ni mashetani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…