Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Katika maisha yetu hapa duniani kuna vitu ambavyo tumeumbiwa na ni lazima tuvifanye ,
Mfano: kula, kulala,kuoga n,k
Sasa kuna vingine huwa tunafAnya tu kwasababu ni lazima ila hatjvipendi sasa tutaje vile ambavyo hatuvipendi mmi sipendi kujamba kwa kweli[emoji38]
Cjui ww hupendi nn?
Kujamba aibu banaa hasa ukikutoka mbele za watu[emoji23]kwa nn hupendi kujamba kwani inapotoka inafumua marinda ?
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji106]Kunya unapenda?!
[emoji38] [emoji38] jilazimishe mkuukuoga
Pole mkuuKuamka asubuhi kuwahi ofisino
Aisee nahudhika 7bu usingizi mtamu ndo unakolea ila ndo lazima niamke ntafanyaje
Na kingine kuchoma sindano dah sipendii huwa nafanya kila mbinu niandikiwe dawa ila wakat mwingne nafeli nachoma kilazima nitake nisitake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] masihara hayooKugegedana
Da hiyo kweli nayooSipendi kupiga chafya wakati naumwa mafua daah mateso tupu
Nikupe kinga ya mafua mdogo anguSipendi kupiga chafya wakati naumwa mafua daah mateso tupu
A k a kukata gogo[emoji23]Haja kubwa!
Mkuu nenda jukwaa LA sokaKocha wa Roma afukuzwa kisa timu imeshika nafasi ya pili. Wenger kalamba mkataba jana na timu imeshika nafasi ya tano.
Huu ni utapeli wa levo ya makanikia, hivi mashabiki wa Arsenal kwanini tunapigwa changa na huyu mzee? Tuandamane tuonyeshwe mkataba wake bwana.
Pole miss moroKuamka asubuhi kuwahi ofisino
Aisee nahudhika 7bu usingizi mtamu ndo unakolea ila ndo lazima niamke ntafanyaje
Na kingine kuchoma sindano dah sipendii huwa nafanya kila mbinu niandikiwe dawa ila wakat mwingne nafeli nachoma kilazima nitake nisitake