Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,577
Katika maisha yetu hapa duniani kuna vitu ambavyo tumeumbiwa na ni lazima tuvifanye,

Mfano: Kula, kulala,kuoga n,k

Sasa kuna vingine huwa tunafanya tu kwasababu ni lazima ila hatuvipendi sasa tutaje vile ambavyo hatuvipendi mimi sipendi kujamba kwa kweli[emoji38]

Sijui wewe hupendi nn?
 
Kuamka asubuhi kuwahi ofisini
Aisee naudhika 7bu usingizi mtamu ndo unakolea ila ndo lazima niamke ntafanyaje
Na kingine kuchoma sindano dah sipendii huwa nafanya kila mbinu niandikiwe dawa ila wakat mwingne nafeli nachoma kilazima nitake nisitake
 
Kuamka asubuhi kuwahi ofisino
Aisee nahudhika 7bu usingizi mtamu ndo unakolea ila ndo lazima niamke ntafanyaje
Na kingine kuchoma sindano dah sipendii huwa nafanya kila mbinu niandikiwe dawa ila wakat mwingne nafeli nachoma kilazima nitake nisitake
Pole mkuu
 
Kocha wa Roma afukuzwa kisa timu imeshika nafasi ya pili. Wenger kalamba mkataba jana na timu imeshika nafasi ya tano.

Huu ni utapeli wa levo ya makanikia, hivi mashabiki wa Arsenal kwanini tunapigwa changa na huyu mzee? Tuandamane tuonyeshwe mkataba wake bwana.
Mkuu nenda jukwaa LA soka
 
Kuamka asubuhi kuwahi ofisino
Aisee nahudhika 7bu usingizi mtamu ndo unakolea ila ndo lazima niamke ntafanyaje
Na kingine kuchoma sindano dah sipendii huwa nafanya kila mbinu niandikiwe dawa ila wakat mwingne nafeli nachoma kilazima nitake nisitake
Pole miss moro
 
Back
Top Bottom