Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Me vitu ambavyo sivipendi lakini ni lazima
* kunya na mjomba ake kujamba (ingawa napenda msosi)
* kuoga kipindi. Hii kitu utotoni nilikua nakula kichapo kila day lakini ckuiz mgegedo umeiteka dunia inanibidi tu kuoga
* kutandika kitanda. Demu wangu alifanya mpk saiz nikiamka natandika japokua sipendi.
Navingine vingi tu
 
Chochote hata mambo ya kawaida huwa sitaki napenda kuwa mwenyewe na kutulia bila kelele za mtu.

Ila napokaa pekee yangu mtu anakuja kuanza kuniongelesha huwa nachukia sana
Saikolojia yako hiyo ndio iko hivyo watu km nyinyi ni ngumu kuwa na marafiki
 
Kuna mwanamke asiyejua maana ya Mp??? Huyu husna inabidi tumfanyie uchunguzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo shule mkuu
Mi LA saba tu hiyo ngeli baaba
Ni bora angeandika neno zima ningeambua but kile kifupisho ndio kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…