Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #101
Ukiumwa omba sindano tuKumeza dawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiumwa omba sindano tuKumeza dawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi sipendi kucheua aah huwa najiskia vibaya, mbaya zaidi niwe nimekula yai la kuchemsha ooh huwa siku yangu inaharibika kabisa
KabisaaUnawaponda wazazi wako ujue
Saaana sema hatuna budi ndio hali yetu tenaIle kitu ni hatari
Sikuelewaa kabisaaKwa kweli uchunguzi ufanyike
Ama labda hakuelewa kirefu cha MP
Pole mkuuNachukia sana kulipia Road licence.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chafya raahaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] weee chafya tamuuu mkuuu yaan ikiwa inaanza kuja unaona unahama dunia , asa usiombee iwe inakuja haraf inaishia njian , unataman uirudsheee,
Sasa km una mafua mkuu, kaa na hengachif maana kamas lazma...
[emoji4]Kuna wengine tumezoea MC mensuration cycle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo Kali mkuuAaah chafya ya mafua na mkojo ni mapacha. Ile unapiga chaaaa na wenyewee unaitikia churuuuu
Walipenda kugegedana ndio yeye akapatikana[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwann
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo hazikuwashi?!Siwaligegedana kwa starehe zao binafsi....
Je nisingekuwa mkulima nikawa sister
Sister Wa kanisani etHahaha eti mkulima!
Sister kwa maana ya dada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipendi tarehe zileeee za female
Sawa baba mkubwaMi sipendi kuona post za ajabu ajabu humu jf