Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Da hiyo kweli mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wataelewa tu coz ile ngurumo ya tumbni hainuki
 
Naendaga kila siku aaubuhi na jioni mpaka kero aisee!!! Nikibana nisiende kesho yake shughuli pevu mpaka inanichana naniliu [emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]
 
Uwiiii....
Mayo weeengaaa
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Ohoooo jitahidi umalize banaa
Shule namaanisha kwa ujumla wake siunaju elimu haina mwisho.kila siku kuna mambo mapya yanayolazimu kurudi darasani ili kuwa compitent kwenye fani yako ,sekondary na chuo nlimaliza kwa kujilazimisha sana,nachochukia mimi sio elimu ila kule kukaa darasani kila siku kusomeshwa matheory.hapa nina kakozi ka mwezi mmoja nakasoma lakini naona kama nmesoma mwaka
 
Mie napenda sana kugegeda, weekend huwa ttunashinda ndani tu na mke wangu, ni kugegeda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…