Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #121
Da hiyo kweli mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umewahi kukaa mkutanoni, kwa mfano, halafu kila baada ya sekunde kadhaa tumbo linaachia ngurumo "gruuuuuuuuu"? Akilini unawaza, "Hivi wameelewa kuwa hiyo ni ngurumo ya tumboni na sio kwamba ni ile nyingine?" Unatamani utoe ufafanuzi ili kuua soo. 🙄🙄🙄🙄🙄😱😱😱
Ila wataelewa tu coz ile ngurumo ya tumbni hainuki