Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Sipendi kula...natamani kungekua na zip kwa tumbo nifungue nimwage msosi alafu nifunge maisha yaendelee
 
Sipend kuamka mapema

Sipendi kwenda haja kubwa

Sipend kufua chupi huwa naroeka mpka ziishe kabisaaaa ndio nafua na naweza jaza kamba 2
 
Sipend kuamka mapema

Sipendi kwenda haja kubwa

Sipend kufua chupi huwa naroeka mpka ziishe kabisaaaa ndio nafua na naweza jaza kamba 2
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] hiyo ya kufua chupi poa banaa hebu jitahidi mkuu
 
Back
Top Bottom