Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Ni kitu gani hujawahi kufanya?

1. Sijawahi kukutana na adui yangu ana kwa ana

2. Sijawahi kuua.

3. Sijawahi kugeuka nyuma kwa shingo

4. Sijawahi kutembea pole pole, huwa nikitembea kama nashuka mlimani

5. Sijawahi kumtukana mtu

6. Sijawahi kutumia "emoj"

7. Sijawahi kuvuta Sigara

8. Sijawahi kunywa pombe
 
Back
Top Bottom