proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
nachukiaaaaKuolewa hutaki si uzae..!!
kuna baadhi ya mikusanyiko ya familia siendi kwa ajili hiii😀Olewa umri unaenda utadhani nikiolewa umri utasimama,au nitakuwa kijana.
Ongeza watoto,tuwili hatutoshi...hao ni sawa na macho wakibonda moja😳
Inashangaza kidogo,unawazia watoto wa wenzio wafe....haya niongeze sababu ya limdomo lako kulea je utaniongezea mshahara wa kuwamanage wote?
Nawaonea huruma ambao ambao hawana hata mtoto mmoja sijui wanapambana vipi na hiyo midundo ya subwoofer🙌