Sitanii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2024
- 516
- 696
Wathamehe bure mkuuunaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooi
Wathamehe bure mkuuunaongea na mtu vizuri tu ghafla linaanza kumbe una "kithembe" woooi
Bahati nzuri si jina langu halisiUna jina zuri!
urassa habari yako binti wa shilingiAhaaa 🤣🤣🤣🤣 vingi vmeshasemwa huko juu
Eeeh 🥺🥺Zaa sasa,.... singlemom wote ni Malaya tu!
Hujamaliza digrii tu mbona ada sio kubwa? Utafikiri wanajua nazongwa na mangapiKuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
Itafikiri umeridhika na hiyo haliMbona umesoma kwanini hujaajiriwa .....huwa nakereka sana yaani
Safi tu doktaurassa habari yako binti wa shilingi
.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
Kipindi wanaandikisha walikua wasumbufu kweli sijui walikua wanapewa commission ukiandikisha watu wengi?Una kadi ya sisiem?
We nae unapenda kujifungia fungia ndani😅😅...Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
Ni dunia ya sasa wanaona mwanaume akizubaa ni kama ameharibikiwa kumbe sioUnaoa lini mbona vijana wenzio wote wameoa hili swali naulizwa na marafiki zangu, mama yangu, majirani, wadogo zangu. lakini kusema ukweli siwaamini wanawake na ndiyo maana sijaoa
Hili suala la kunipangia watoto linakera sana, wengine wanataka tuzae kama visungura tuteseke kama wao.Olewa umri unaenda utadhani nikiolewa umri utasimama,au nitakuwa kijana.
Ongeza watoto,tuwili hatutoshi...hao ni sawa na macho wakibonda moja😳
Inashangaza kidogo,unawazia watoto wa wenzio wafe....haya niongeze sababu ya limdomo lako kulea je utaniongezea mshahara wa kuwamanage wote?
Nawaonea huruma ambao hawana hata mtoto mmoja sijui wanapambana vipi na hiyo midundo ya subwoofer🙌
Usiingize yote ingiza kichwa tuuKuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi,
2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu
3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda
4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda
5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
6.Kwa nini huchangamani na watu?
7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k
8.Si bora hata ufanye biashara?
Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?
Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
Kama kuku wa sassoUmenenepa. 🤨