To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Inasikitisha sana...Hili suala la kunipangia watoto linakera sana, wengine wanataka tuzae kama visungura tuteseke kama wao.
Mimi nina falsafa yangu, nimejipangia utaratibu wangu kuwa nitazaa wachache kwa kuwa malezi nayo gharama siku hizi so sitaki nizae malezi yanielemee mpaka nishindwe kuishi.
Mimi napenda majukumu na bata, sasa jitu linataka kuniletea utaratibu wake kama sio kutaka tutaabike kama wao ni nini?
Ama wasio na watoto wananyanyasika, kama tu ukiws nao unasemwa usipokuwa nao itakuwaje?