mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Huko kwa waziri mkuu (PM) sasa itakuwa kama kesi ya lisu kuficha mashahidinjoo PM
Weka hadharani
Mimi saivi nipo Stockholm karibu huku ni saa mbili usiku vip huko tz
Huko kwa waziri mkuu (PM) sasa itakuwa kama kesi ya lisu kuficha mashahidinjoo PM
MwambieUna ten hapo ya karibu?😏
Wanakera sn mkuu Tena pale wanapoongeza neno ya karibu😓Mwambie
Sina Ten ni nina elf kumi
Mtu anakosa njia iliyosahihi ya kuomba helaWanakera sn mkuu Tena pale wanapoongeza neno ya karibu😓
Inakela sana mana unakuta pombe mlikunywa wiki iliyopita siku mkiwa mnakunywa mnaanza kusemana ooh siku ile flan ulizingua mara flan alifanya kitu flani yan kwa mimi hua naona inaboani shida kwa kweli
Ilo la ulisomea nini🙌🏾Moja ya maswali huwa nachukia sana...
Pale mtu anapokuuliza,
Siku hizi:
Uko wapi?
Unafanya nini?
Ulisomea nini? Utadhani anaweza kukuajiri....
Baado hujaajiriwa? Haya maswali yanaulizwa na ndugu.. huwa yanakera sana.
Inakera zaidi aanze kukupeleleza kuhusu marafiki zako.
Ndio maishaSipendi mtu kuniuliza mambo ya kuolewa!
sjui umri unaenda mara nizae, yani kama vile nina mwanae ana msubiri nimzae akamlee🙄
Na ile nikila ela za watu mtu ananiuliza kwanini nakula kama sitaki kutoa mnofu😏
Sipendi kuulizwa sikuizi nani anakula apo wkt sina ata kisingizio!😩
Sipendi kuulizwa uko wapi!😡
Sipendi kuulizwa mbona umenuna/umekasirika na ni sura yangu 🥵
Sina jinsiNdio maisha
Hayo hayo ndio yataulizwa sana kwako
Watu wanahisi kabisa kwamba haiwezekani mtu usome halafu usiajiriwe, wanadhani nimeamua kukaa tuu mtaani wasijue hali ya ajira ni tete.Itafikiri umeridhika na hiyo hali
KabisaSina jinsi
Kitu ingine sipendi kuongeleshwa na wakaka barabarani lkn sina jinsi ndo maisha najikaza tu muda mwingine unaambulia tusi😂
Au unafanya makusudi kukaa kitaahili nalo linatesa watu watafkiri umefeli