Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

Kuna mambo kadhaa k.v
Nawajibu hivi
Wewe ni mweusi,
aha 🚫 …. colourless
wewe ni handsome
namwambia ndio unajua leo?
labda
Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.
Waachie watoto wafanye
Kwa nini huchangamani na watu?
Sijui
Mbona huendi kanisani, msikitini n.k

“Mbona na wewe huendi mbinguni ss hv unasubiri nini?”
Si bora hata ufanye biashara?
Mind your business


Dawa yao ni kuwajibu Majibu kama haya
 
Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.

Kuna mambo kadhaa k.v

1.Wewe ni mweusi,

2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu

3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda

4.Umeolewa? Utaolewa lini umri umeenda

5.Mbona wenzako wamefanya hili na lile lakini wewe bado.

6.Kwa nini huchangamani na watu?

7.Mbona huendi kanisani, msikitini n.k

8.Si bora hata ufanye biashara?

Yapo mengi ukiambiwa yanakukera. Wewe lipi linakukera ukiulizwa kila saa? Na unachukualiaje?

Mimi nikoombwa hela halafu nisikie mwanaume unakosaje hela. Sipendi kabisa
KUNA mafala KILA siku tukikutana umenenepa mamtu ya kijijini kwao mwashambwa ma ccm
 
Back
Top Bottom