ha ha ha ha ha ha!sin'chezoooo!leo umewashika.....!unawasoma ipasavyo,ngoja nirudi page nne nyuma nianze kuwasomaBWASHEEEEE! Nyingine hiyo. Stukaaaa! Wanapenda kukaliana! Hahaha! Leo tutawatambua kwa maneno yenu! Hahaha! Raha iliyoje, hata ukiwa baa unamalizia kwa kiti! LOL! GOT YAAA!
teh teh teh teh teh teh teh teh huu utabiri ni thoo!!!! mnajimu Geoff hili ndo balaa ulilolitarajia? au linazidi makadirio?BWASHEEEEE! Nyingine hiyo. Stukaaaa! Wanapenda kukaliana! Hahaha! Leo tutawatambua kwa maneno yenu! Hahaha! Raha iliyoje, hata ukiwa baa unamalizia kwa kiti! LOL! GOT YAAA!
'bht' ina maana hakuna hata kimoja kinachokushangaza wewe kwa huyo mwandani wako? pls njoo hata indirect binamu tutakuelewa tu mwayabht is motionless and speechless today!!!
hao watatu inaonekana hii sredi imewafrustrate!huenda wenzi wao huwa jogoo hanyanyuki mpaka akaanzie na sabuni bafuniπCurrently Active Users Viewing This Thread: 42 (19 members and 23 guests) BabaBabuu, Bebeku, Bonge, carmel+, Che Kalizozele, chimunguru, compressor, edwinito,herikujua, Kisusi Mohammed, klorokwini, Monicam, Shishi, Shishye, Sipo+, TreasureFred, Tshala
HE!! MAMA MIA! bado watu kibao lakini wanaogopa! LOL!
Hivi hawa malegend ndio akina nani na kazi yao ni nini? nisaidieni mwenzenuCurrently Active Users Viewing This Thread: 38 (17 members and 21 guests) Sipo, BabaBabuu, Bebeku, Bonge, carmel, chimunguru, Chrispin+, compressor, edwinito, herikujua, Kisusi Mohammed, Monicam, Shishi, Shishye, TreasureFred, Tshala
Wapwa nahisi hapa kuna Malegend wameingia kama guests
.............NGULI na FIDEL80hawa guest kuna MJ1, ZD ,Kaizer na ....na...
Kukmbe huwajui shemeji.....ngoja nikudirect..........nenda kwenye jukwaa la pili kutoka juu utawakuta wengi kule wamekomaa wanatatua matatizo ya nchiHivi hawa malegend ndio akina nani na kazi yao ni nini? nisaidieni mwenzenu
..........au wawe jirani na kile kitanda cha Pdiddy kinachopiga kelele wakati wa majambozhao watatu inaonekana hii sredi imewafrustrate!huenda wenzi wao huwa jogoo hanyanyuki mpaka akaanzie na sabuni bafuniπ
Kukmbe huwajui shemeji.....ngoja nikudirect..........nenda kwenye jukwaa la pili kutoka juu utawakuta wengi kule wamekomaa wanatatua matatizo ya nchi
pointi of korreksheni!HATUFAI KUZIENDESHA KAMPUNI ZETU!...MAY BE NISEME hatufai kujilipaπ
geoff, xspin leo mmekosa kazi kabisa!!!!!! Hamfai kulipwa na hao waajiri wenu!
pointi of korreksheni!HATUFAI KUZIENDESHA KAMPUNI ZETU!...MAY BE NISEME hatufai kujilipaπ
My dear bht ooh sorry my cousin but if you dont mind its my pleasurehaaaaaa sipo creze!!! wacha wakomae sie twaponda raha huku lol!!!