compressor
Member
- Nov 26, 2009
- 76
- 0
nilibashiri kuanzia mwanzo kuhusu huu ugugumizi na mambo sasa naona yanaweza kuwa mazuri kama ni ngoma ya kucheza watupu unasubiri wenzako wavue ukivua,then ndo utoe za kwako.tutamwaga tu hata kwa njia zisizo rasmi,then wachambuzi watafanya kazi yaoha ha ha!
sio lazima uwe dairekti!sisi tu wanajimu!tumesomea unajimu seminarini!we tumia njia walizotumia wenzako