Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee[emoji102] yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
Hatari sana!
 
Mwenye hii garj ni either mchaga or mpare
Mchaga huo uchafu apeleke wapi?,wkt anaona wenzake wanavyosukuma vitu piruuuuuuu.Labda apeleke huko usukumani ambapo watu wakiona Gari wanakimbilia huko maporini.
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee👀 yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
😄😄 Hata ukiwa ofisini mwenyewe ujue ukijamba tu ataingia ghafla mtu mnayeshimiana nae hapo ofisini wkt bado hali ya hewa ikiwa bado haijarudi kwny hali yake.
 
Back
Top Bottom