Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Memba wa Mbeya. Landlover ya njano. Ghorofa la njano. Umenikumbusha mbali sana, nimekaa Jakaranda karibu na RTD, S/Msingi nikapiga Azimio kwa Mwl Msomba
Sori mkuu me wa MBY pia old forest ila nimemalizia primary Mbata na ticha mkuu Msomba, vipi ni hiyo huyo?
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee👀 yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?!mnajifanya wastaarabu sana etiee👀 yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha,kiporo cha mandondo na pepsi baridi,halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
Halafu ukishajamba tu lazima atokee mtu unayemjua akusimamishe akuombe lift 😄 unabaki kusema tu nafika mbele tu hapo na yeye anakuambia nsogeze tu hamna shida.
 
Hapa jamvini kuna wenye magari na wapo ambao wanaendelea kuyatafuta magari, na siku hizi gari sio anasa tena ni hitaji la muhimu, hivyo basi ndoto ya wengi ni kuwa na gari.

Ukiwa na gari yako, je vitu gani ungependa kulifanyia gari yako? Na vipi usingependa kulifanyia gari yako?

Mwingine anapenda gari iwe tinted kuanzia kioo cha mbele hadi kwenye taa, mwingine hataki gari iendelee kuwa na muziki uliokuja na gari, hivyo atabadilisha mfumo mzima wa sauti (sound system).

Mwingine hataki tu kuendelea na urembo wa kiwandani wa ndani ya gari, atabadilisha viti, ataipamba dashboard, atabadilisha roof na kadhalika.

Mwingine yeye gari yake ndio kila kitu kwake. Gari ni bar, ina chupa ya Konyagi, k Vant, Bia nk. Gari ina mipira ya kiume, begi la nguo, raba za mazoezi, packet ya sigara na viporo vya chips.

Ili mradi kila mtu na mawazo yake. Je wewe kwako ni kipi halali na kipi ni haramu kwa gari yako?
Kuandikaandika maneno.Mara..."WERAWERAAA,ASUSA ABANGA,MURETE MUZUNGUUUUU,MUZUNGU KAOMBA POOOOOH,KICHOCHI KAA CHONJO,BABA YAKO ANAYO?,SIZITAKI ZIMEIVA SANA,MWENDO MDUNDO,MBELE MBELE YAO,PAPAA MOBIMBA,INAMA UPATE,ANGWISA,NDOHO GOGOLO"..!Vurumai tupu!
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee👀 yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
We kiboko😄
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee[emoji102] yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara.

Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue.

Basi hiyo Ijumaa tumetoka job. Kutoka mjini hadi daraja la Salenda tumetumia saa moja na nusu, tukaamua twende Masaki tukale mishkaki jeshini (hiki kiwanja siku nyingi kilikufa).

Basi ikawa ni mishkaki na bia, mie nadidimiza tu Konyagi. Mpaka mida ya saa nne tupo Masaki, binti tabia zikabadilika.

Mara kanipa mdomo, mkono kaupeleka kusini mashariki mwa uwanja, kaanza kuchezea mipira, mimi namuangalia tu, mara katoa chock stick, kaitia mdomoni, mimi namuangalia tu, mara kazidiwa , tukahamia kwenye gari.

Tukatafuta chimbo takatifu, vioo vimepandishwa, kipupwe mwanana kinarindima, tukaanza kupiga tukio maridadi.

Baada ya dakika ishirini shetani akatuachia, ndio tunakumbuka tuko Yatch Club kwenye parking. Tukavaa fasta na kuanza safari ya kurudi makwetu.

Ukawa ndio mchezo wetu, gari likatuunganisha. Baada ya miaka miwili tukafunga ndoa kanisani, ila tukajiapiza mambo ya ku do kwenye gari sasa yawe mwisho. Hatujarudia tena mchezo huo.
Watchout Bro, kuna nyakati asipokuona au ukichelewa kufika nyumbani anaweza akawa anakufikiria kwamba ulikuwa KUNYANDUA MBUSUSU ya mwingine kwenye gari (truth related joke Bro) kama ulivyowahi kumnyandua yeye.
 
Watchout Bro, kuna nyakati asipokuona au ukichelewa kufika nyumbani anaweza akawa anakufikiria kwamba ulikuwa KUNYANDUA MBUSUSU ya mwingine kwenye gari (truth related joke Bro) kama ulivyowahi kumnyandua yeye.
I know. That's why tunapitiana, najua hawa wenzetu wana insecurity problem
 
Back
Top Bottom