Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Kuna wale Jamaa wanasema gari Iko chini, wanaongeza "spensa" Ili iwe juu Kisha wanakimbia wanaishia kuanguka na kufa na kuzikwa, Mimi huwa sipendi na siwezi kamwe kuweka hivyo vitu
Hivi hizo spacer ni za kazi gani? Binafsi nikiwa nachagua gari huwa nahakikisha napata zenye adjustable coilovers... Gari ikiwa chini ina raha yake...
 
1663247951157.png


Huu ufala sifanyi
 
1. Kupiga ribiti.
2. Kuweka ile exhaust kubwa ipige makelele.
3. Kuweka matairi mapana.
4. Kuweka sport rims za Sinza zile za Laki 6.
5. Kuandika maneno kioo cha nyuma au mbele.
6. Kuweka IKEDA
7. Kuweka viwiuwiu red-blue pale mbele kwenue dashboard.
8. Bumper la Chuma.
9...
 
1. Kupiga ribiti.
2. Kuweka ile exhaust kubwa ipige makelele.
3. Kuweka matairi mapana.
4. Kuweka sport rims za Sinza zile za Laki 6.
5. Kuandika maneno kioo cha nyuma au mbele.
6. Kuweka IKEDA
7. Kuweka viwiuwiu red-blue pale mbele kwenue dashboard.
8. Bumper la Chuma.
9...
Ikeda ndio nini wangu? Jamani ushamba huu, unaweza ukakuta hata kwenye gari yangu Ikeda ipo ila siijui
 
Hapa jamvini kuna wenye magari na wapo ambao wanaendelea kuyatafuta magari, na siku hizi gari sio anasa tena ni hitaji la muhimu, hivyo basi ndoto ya wengi ni kuwa na gari.

Ukiwa na gari yako, je vitu gani ungependa kulifanyia gari yako? Na vipi usingependa kulifanyia gari yako?

Mwingine anapenda gari iwe tinted kuanzia kioo cha mbele hadi kwenye taa, mwingine hataki gari iendelee kuwa na muziki uliokuja na gari, hivyo atabadilisha mfumo mzima wa sauti (sound system).

Mwingine hataki tu kuendelea na urembo wa kiwandani wa ndani ya gari, atabadilisha viti, ataipamba dashboard, atabadilisha roof na kadhalika.

Mwingine yeye gari yake ndio kila kitu kwake. Gari ni bar, ina chupa ya Konyagi, k Vant, Bia nk. Gari ina mipira ya kiume, begi la nguo, raba za mazoezi, packet ya sigara na viporo vya chips.

Ili mradi kila mtu na mawazo yake. Je wewe kwako ni kipi halali na kipi ni haramu kwa gari yako?
Siwezi kuweka mi spoiler mikubwa kama ile inayowekwa kwenye Alteeza au baadhi ya Subaru...
 
Mwingine yeye gari yake ndio kila kitu kwake. Gari ni bar, ina chupa ya Konyagi, k Vant, Bia nk.
😅😅😅 Huyu ni Mimi kabisaaa..... Japo miaka michache nyuma ndinga yangu nilikuwa naipendea usafi , ilikuwa inaoshwa dail.

Baada ya kuwa na watoto na ubusy wa maisha na kubeba vifaa vya kazi nimekuwa I don't give a shit
 
Memba wa Mbeya. Landlover ya njano. Ghorofa la njano. Umenikumbusha mbali sana, nimekaa Jakaranda karibu na RTD, S/Msingi nikapiga Azimio kwa Mwl Msomba
Msomba alimpa mimba mtoto wa mama mdogo, alienda kusoma Mbeya kwa bibi yake mzaa baba. Huyo Msomba akamweka kwenye kwaya ya shule, tena Msomba alikuwa na fimbo inaitwa John ndiyo alikuwa anawachapia wanaomkataa
 
😅😅😅 Siyo kweli maana kama ni kweli ningesha-die kitambo.... Maana Mimi naanzaga na kupima oil huku nadrive mpaka tufike eneo husika tupo hoi.
Am still rolling mwaka wa 7 huu na sijaona mkosi wowote.
Ok
 
Back
Top Bottom