Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

😅😅😅 Huyu ni Mimi kabisaaa..... Japo miaka michache nyuma ndinga yangu nilikuwa naipendea usafi , ilikuwa inaoshwa dail.

Baada ya kuwa na watoto na ubusy wa maisha na kubeba vifaa vya kazi nimekuwa I don't give a shit
Aisee
 
Memba wa Mbeya. Landlover ya njano. Ghorofa la njano. Umenikumbusha mbali sana, nimekaa Jakaranda karibu na RTD, S/Msingi nikapiga Azimio kwa Mwl Msomba
Umekaa jirani na kina Janeth Swebe na Lina Mwantobe. Msomba haha haha haha Long time sana.
 
1663269952895.png
 
1. Kupiga ribiti.
2. Kuweka ile exhaust kubwa ipige makelele.
3. Kuweka matairi mapana.
4. Kuweka sport rims za Sinza zile za Laki 6.
5. Kuandika maneno kioo cha nyuma au mbele.
6. Kuweka IKEDA
7. Kuweka viwiuwiu red-blue pale mbele kwenue dashboard.
8. Bumper la Chuma.
9...
Sipendi kuweka tinted kwenye taa na kioo cha mbele
 
Kupakia watu njiani hasa safari za usiku kwenda mikoani... nisije kupakia jambawazi linikabe kabali bure.. Mimi huwa peke yangu niki enjoy nyimbo za kitambo kama za Oliver Ngoma na kina Franco.
 
Kupakia watu njiani hasa safari za usiku kwenda mikoani...nisje kupakia jambawazi linikabe kabali bure..mimi huwa peke angu niki enjoy nyimbo za kitambo kama za oliver ngoma na kina franco
Wewe ni mimi kabisa.. nafanya long drive meditation na mziki wa kitambo.. nnavyoangalia terrains hasa kama ni weather ni cloudy akili inaconnect kwenye ulimwengu mwingine kabisa.
 
Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara.

Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue.

Basi hiyo ijumaa tumetoka job. Kutoka mjini hadi daraja la Salenda tumetumia saa moja na nusu, tukaamua twende Masaki tukale mishkaki jeshini (hiki kiwanja siku nyingi kilikufa)

Basi ikawa ni mishkaki na bia,.mie nadidimiza tu Konyagi. Mpaka mida ya saa nne tupo Masaki, binti tabia zikabadilika.

Mara kanipa mdomo, mkono kaupeleka kusini mashariki mwa uwanja, kaanza kuchezea mipira, mi namwangalia tu, mara katoa chock stick, kaitia mdomoni, mi namwangalia tu, mara kazidiwa , tukahamia kwenye gari.

Tukatafuta chimbo takatifu, vioo vimepandishwa, kipupwe mwanana kinarindima, tukaanza kupiga tukio maridadi.

Baada ya dakika ishirini shetani akatuachia, ndio tunakumbuka tuko Yatch Club kwenye parking. Tukavaa fasta na kuanza safari ya kurudi makwetu.


Ukawa ndio mchezo wetu, gari likatuunganisha. Baada ya miaka miwili tukafunga ndoa kanisani, ila tukajiapiza mambo ya ku do kwenye gari sasa yawe mwisho. Hatujarudia tena mchezo huo
Ngoja nijaribu mpaka nikioa nitaacha
 
-Siwezi kuosha gari kila siku.

-Car kits marufuku.

-After market parts ndani ya Gari Ni marufuku hata mziki sibadilishaji,siwezi kuitoa MARK LEVINSON halafu nikaweka uchafu wenye makelele kwny Gari yangu.
 
Imenikumbusha Mbeya enzi zile kulikuwa na Mkinga mmoja ana maduka ya nguo na Lodge inaitwa Central Visitors, alikuwa anaitwa Memba, shabiki wa Yanga kindakindaki, alikuwa anayaremba sana magari yake.

Alikuwa na Land Rover 109 na Nissan Patrol,.mbona zilikoma aisee, zimepambwa hadi zimekuwa nzito kama Scania
Kuna Central Visitors moja ilikuwa nyuma ya stendi ya mjini (Mbeya Bus Terminal) ni ya zamani sana ile, ndo hiyo mkuu??
 
Back
Top Bottom