Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Hatari sana!
 
Mwenye hii garj ni either mchaga or mpare
Mchaga huo uchafu apeleke wapi?,wkt anaona wenzake wanavyosukuma vitu piruuuuuuu.Labda apeleke huko usukumani ambapo watu wakiona Gari wanakimbilia huko maporini.
 
😄😄 Hata ukiwa ofisini mwenyewe ujue ukijamba tu ataingia ghafla mtu mnayeshimiana nae hapo ofisini wkt bado hali ya hewa ikiwa bado haijarudi kwny hali yake.
 
Halafu ukishajamba tu lazima atokee mtu unayemjua akusimamishe akuombe lift 😄 unabaki kusema tu nafika mbele tu hapo na yeye anakuambia nsogeze tu hamna shida.
Sasa jamba kwny Gari afu washa A/C ndio utazidi kufurahi na shoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…