Sawa mkuu mi leo namsikiliza masta ace tu, album ya sitting on the chrome na the long hot summer zipo kwenye Playlist kwa leo.Hahahaha... Illmatic is one of my best album of all the time... The world is yours,memory lane(sittin in da park), ile Ngoma yupo na AZ... Life is bitch,aint hard to tell... Hahahaha mkuu hiyo album umenikumbusha ngoja niisikilize mda huu
DahAsante mkuu... rocky na wenzake nawafatilia japo sio sana... But kwenye hiz new school Kendrick Lamar,j Cole na chance the rapper wananikosha mno.
Sawasawa,,pamoja mkuuHahahaha... Mkuu havoc na prodigy waliitwa Mobb Deep nna album zako zote umenikumbusha Ngoma kama the shook one part ii,hell on earth,survival of the fittest..
Lost boyz hyo album ya lb fam for life hakuna nyimbo ambayo siipendi aisee... We got the hot shit,only live once,ghetto jiggy hahaha mkuu umenikosha sana.
Lupe fiasco tangu afuge rasta ni kama kapata laana,hawezi kuchana kabisa.kawa whack emcee kama Ace hood tuDah
New school sikilizi kabisa ila kuna machalii kama Childish Gambino na Lupe Fiasco kuna kipindi niliwaazima sikio.
Wewe ni balaaAsubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie
Hiyo ni sawa na kusema,kama maisha yamekushinda achana nayoSiwezi kulala Bila kufumba macho
Asubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie
Nas is one of the illest emcee to ever hold the mic.
Jamaa kiukweli ni mtu alietoa album bora ya mda wote in ILLIMATIC.
Namwelewa sana Nas, he is in my top two period.
Childish Gambino kwa mpenda oldies lazima umuelewe... Dogo yupo poa sana but Lupe fiasco alikua vyema kwenye kipindi cha nyuma siku hizi ameenda kwenye cashflow basi simuelewi kabisaDah
New school sikilizi kabisa ila kuna machalii kama Childish Gambino na Lupe Fiasco kuna kipindi niliwaazima sikio.
Hahahaha... Ukitafuta list ya diss songs of all the time,ya kwanza ni hit em up ya 2pac then inakuja ether ya nas... Hizi Ngoma ni noma aiseeSingle ya "Ether" aliyo mponda Jay Z.Jamaa NI hataree
Hahahaha... Ukitafuta list ya diss songs of all the time,ya kwanza ni hit em up ya 2pac then inakuja ether ya nas... Hizi Ngoma ni noma aisee