Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

bafuni lazima
kusali lazima
kumpigia simu mama lazima
kumpigia/ sms mpz lazima
 
Siwezi lala bila kugegeda hapo nitahaha usiku mzima hata Kinondoni nitaenda!Isha jizoelea mm
 
Mkuu 2pac alisaidiwa Na group Nas alikuwa Mfalme wa NY peke yake Na ndio ilikuwa single yake kubwa kuliko zote.

Far as Tupac goes, hit 'em up haikuwa diss bali hisia. Ether haikuwa single kubwa ya Nas, and I think it's highly overrated. Nas reasoned with an IQ of a 9 years old.
 
Far as Tupac goes, hit 'em up haikuwa diss bali hisia. Ether haikuwa single kubwa ya Nas, and I think it's highly overrated. Nas reasoned with an IQ of a 9 years old.

Sawa Na IQ yako ina "reasoned" ya mtoto wa miaka mingapi?
 
Far as Tupac goes, hit 'em up haikuwa diss bali hisia. Ether haikuwa single kubwa ya Nas, and I think it's highly overrated. Nas reasoned with an IQ of a 9 years old.
We jamaa bhana,kwani ni nini tofauti ya hisia na diss son.sitaki uandike lugha yako ya kiingereza mana shule hukunipeleka
 
We jamaa bhana,kwani ni nini tofauti ya hisia na diss son.sitaki uandike lugha yako ya kiingereza mana shule hukunipeleka

Hisia unazungumza chochote, kumuumiza mhusika; diss, unam-ridicule mpinzani au kujitapa uwezo wako dhidi yake. Back to back, ni mfano wa diss bora kabisa kuwahi kutokea.

Historia ya ugomvi wa Pac na Biggie, haikuwa kuhusu nani mkali wala muziki. Ugomvi ulitokana na hisia za Pac kwamba Biggie hakufanya kama rafiki alivyotakiwa kufanya.
 
Kila mtu ana kitu ambacho ni muhimu kwake kabla ya kulala na baada, au awapo safarini, sasa leo niambie ni nini ambacho usipokifanya huwezi kulala au kuondoka home asubuhi baada ya kuamka?

Binafsi siwezi kulala bila kupiga mswaki na ndiyo maana meno yangu ni meupe peee, yaani bora nisioge ila sio kulala bila kusafisha kinywa na hata nikiwa safari basi mswaki huwa siusahau kabisa.

Niambie na wewe tuweze kushare idea hapa jamvini.
Kabla ya kulala lazma nkojoe kwanza
 
Kwani wanaume wa Dar uliambiwa hawawezi? Harafu wanyakyusa mna maneno sana nyie
Mkuu sex kila siku mbona easy sana kama hauumwi na wala vyema
Easy mno mkuu
Mm huwa na enjoy every day!
Labda akatae yy sio mm
 
Mkuu sex kila siku mbona easy sana kama hauumwi na wala vyema
Easy mno mkuu
Mm huwa na enjoy every day!
Labda akatae yy sio mm
[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji57] [emoji57] mala nyingi watu kama nyie ndio hamnaga lolote
 
[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji57] [emoji57] mala nyingi watu kama nyie ndio hamnaga lolote
Mm sio MWANAMME wa Dar!
Huku chakula chetu ni ndizi,asali mbichi,nazi bila kukunwa,maziwa mabichi na mara nyingi huwa tunatafuna mihogo mibichi na usiku home napika dagaa naweka vitunguu tu bila kuunga na ubwabwa!
Sasa kwa chakula hiki kwa sisi mijitu ya Bara nitakosa nguvu kitandani?
Mkuu njoo Kyela uimarishe nguvu zako!!
 
Back
Top Bottom